@SharonMontana20 Malezi ya mtoto yanahitaji commitment ya hali ya juu, gharama ni kubwa sana , na ngozi nyeupe ni watu wanaofikiria kuna ambao hata kuolewa hawatak anakwambia mm I just want to travel and have fun nothing serious sisi sasa tunaish kihisia