@SuluhuSamia@bunge_tz . Asante Jaji Warioba. Muda tulionao unatosha kurekebisha dosari na Uchaguzi ukaendela katika hali ya KUAMINIANA. Let's pick the low hanging fruits. Umekuwa ushauri wangu kwa pande zote siku zote. Na unatolewa kwa nia njema ili tudumishe haki, amani, upendo
Vijana wa Tanzania wanapenda mabadiliko lakini hawataki kuwa sehemu ya mabadiliko.
Kumtoa kijana Bar kwa dakika 10 akajiandikishe kwa ajili ya maendeleo ya mtaa wake ni kazi ngumu sana.
Ila kijana anaweza akaenda kuangalia mpira kwa dakika 90 kwa umbali wowote.
WANATUANGUSHA.