Unachotakiwa kuelewa nikuwa wameomba ruhusa kwa Mukuru! na wakakubaliwa mfn. @makonda_paul lazima kaomba ruhusa kwa Baba na amekubaliwa Sasa mjidanganye et atapigwa chini ni ndoto ya mchana
@MsigwaGerson Yaani ningekuwa mshauri wa raisi au ningekuwa Na mamlaka ya ccm wale wote walioacha kazi ya umma wanakimbilia ubunge nisingewapisha kwasababu wanatamaa sana
@MagufuliJP Mbona husikitishwi na kifo Cha Luena?
Mbona husikitishwi na kifo Cha Mawazo?
Mbona husikitishwi na Mkurugenzi kupiga mtu Risasi na kuua kule singida?
Mbona husikitishwi na kutekwa na kupotea kwa watu?
Mbona husikitishwi
Mbona husikitishwiiiiii