@YerickoNyerereT@SimbaSCTanzania Tusitumie nguvu sana ila ukipata muda chunguza je posho zao wanalipwa kwa wakati hawa wachezaji.....Hiki kilio cha wanachama na mashabiki ukisikiliza kwa umakini utagundua kuna kitu ndani ya club hakipo sawa
@HKigwangalla Kama hana mamlaka si ajiuzulu kwn yy anang’ania nn na wakat hana mamlaka....Hamis acha kuona watu ni wajinga katika zama hizi ajiuzulu kwanza issue za mamlaka ni baadae maana hata akiwepo na hana mamlaka hawez kutusaidia
@HKigwangalla Hamis ww tunakujua ni mwanachama wa @SimbaSCTanzania ila ww ni mwanachama hai wa Twitter kwenye hili ww sio mjibu hoja za mwenyekiti na kama una hoja basi mwambie Mangungu asiogope kuitisha mkutano mkuu ili na ww uje na hoja zako za Mo kwenye mkutano mkuu.....
Ukisoma hii katiba utagundua mkutano mkuu ndani ya club ya @SimbaSCTanzania sio jambo la utashi wa mtu katiba ipo wazi inaelekeza....Jambo jema ni viongozi kama wao wapo sahihi basi waitishe mkutano mkuu waje wajibu hoja kwenye mkutano.
@HKigwangalla@SimbaSCTanzania Hamis usitumie nguvu kubwa kufifisha huu mjadala .....Ok yote hausiki basi aitishe mkutano mkuu wa dharura na ww uje nae kwenye huo mkutano ili hayo yote mje mtuambie kwenye mkutano mkuu wa Wanachama wa @SimbaSCTanzania hofu yenu ya kutoitisha mkutano ipo wapi?
@ahmed__ally We jamaa unatafutwa popote ulipo kwa kula njaa za utekaji pale Uwanja wa Ndege kwenye file la maharamia na wewe upo......Ahmed una jinai ya kujibu ✋