@DanyeMufasa Sasa huyu ndio muhuni ana u professional gani yaan kocha Ile kuweka azam federation ndio history nilitegemea ibenge aje Tanzania asimamishe vigogo hawa kitendo Cha yeye kwenda Mali kafuta hata tishio lake
@Sativa255 Unafikiri yanga angegomewa na Simba kupiga tizi la mwisho hiyo derby angeleta timu kiwanjan hili suala mtajadili San lkn TFF watapanga tarehe mechi itachezwa na wewe utarudi ten kunogesha derby sio mara ya kwanza hii ni Africa