Ni Kweli Kuna Waliowahi Kujaribu Wakashindwa. Lakini Hiyo Haimanishi Kila Mtu Atashindwa. Ushindi Wa Mtu Hauwezi Kupimwa Kwa Kushindwa Kwa Mwingine. Kila Mtu Ana Wakati Wake, Njia Yake Na Neema Yake.✍️
You have seen good days before.
You have lived great years already.
That means you can live them again. Dont quit in a temporary storm, your comeback season is just ahead.