Mungu atusaidie vijana...tunaishi maisha yasio na uhalisia, tunadanganywa/jidanganya na vitu vya kupita na kusahau kuna maisha baada ya haya ya duniani. Kuzimu na Peponi zinatusubiria ila maisha yetu duniani ndo yataamua tunaingia wapi kati ya hizo 2 options
Jesus is the Good Shepherd; we are the sheep. As His flock, we can hear His voice. How do we know His voice? By spending time with Him. My reading His Word. In prayer.
Pole kwa majukumu ya siku ya leo..
Natumai upo mzima mwenye afya..
Naomba sapoti yako mpendwa rafiki kwa kuniunga mkono huduma hii
Nisaidie kutazama wimbo huu kisha share kwa rafiki na group ulizo nazo...
Wimbo MPYA USEMAO #INAWEZEKANA
👇 👇 👇
https://t.co/fEMW7xOSQc
@WemaKako Mbona siku nyingi.
Hill hajawa compititor kivile kwa SSB.
Mtaani na maeneo mengi maji ya Afya yamesambaa sana.
Wamejitahidi sana kufika hadi mitaani ndani ndani. Hill water hawajaweza sana.
Price wise
Afya 1.5 L kkoo 500
Uhai 1.6 L ni 500
Masafi (Mo) 1.7 L 500.
@iAlenOfficial @lifeofmshaba@ChangeTanzania@fatma_karume @ahmedomarkhamis @CShibitali @RacqreyC @Twaha_Mwaipaya @FichuaTanzania @TZFanatic Achana na Waponya Nchi. Kuna mponya yote nafsi,roho,mwili na nchi, YESU KRISTO.Yeye ndiye njia pekee ya kwenda Mbinguni. Bila kumuamini huendi mbinguni. Dunia na mambo yake yanapita.Wanasiasa, vyama na tawala zinapita. Utabaki wewe mwenyewe, na chaguo ulilochagua ukiwa duniani.
You have the opportunity right now to choose between life and death, between liberty and bondage. First of all, admit that you need to be set free. Second, ask God to forgive you of all known sin. Third, forgive everyone who has ever hurt you.