@Gaspinho15 Mechi yake ya kwanza kucheza ligi kuu alikutana na prison ya akina asukile
Alipigwa push moja na asukile akaona huku sio sehemu nzuri ndiyo maana anangโangโania ndondo cup
@maila_kasorii Kwanza lazima ujue kila mtu anatoka wapi.
Serviceman anatokea katika kamandi ya jeshi la kujenga taifa na Mgambo anatokea katika kamandi ya jeshi la akiba
Hivyo kamandi ya jeshi la kujenga taifa ni senior kwa kamandi ya jeshi la akiba hivyo kumfanya serviceman kuwa mkubwa