@Balyx_ Ukiwa huna kitu unakula unachopata na ukiwa tajiri unakula unachotaka. Ndo simba sasa pesa hawana ndo maana wanasajili kina osimihen wa bei ya jion
@BracuszCadabra Jaman loemba mnamuonea uwezo wako ni mdogo hana hadhi ya kuchezea simba ni vile tu uongozi wa simba unashindwa kutafuta quality players
@RevocatusMagum1 Ndugu mtanzania hapendi ukweli kiufupi simba inawacheza wenye low quality ukiangalia vizur wanazidiwa uwezo wa kiuchezaji na wachezaji wa timu ya singida black stars kikubwa waingie sokon walete wachezaji wenye hadhi ya simba
@Balyx_ Timu ya wanawake inafanya vema kabisa kwenye mashindano leo wachambuzi hawajaipa tension sijui kwa nn wako bize kuchambua usajili wa timu fulani
@1960Remija@krisBangala Yanga wanajielewa sio walopokaji huwez kuta wanashadadia vitu alivyozungumza mtu wa simba ila ingekuwa Julio yuko yanga halafu azungumze kitu km kile ungesikia wanya porin wangeongea sana bila tishu
@Labella_Mafia95@maluu_captain Hapa bongo tunapenda kuvipa vitu ukubwa tofauti na uhalisia kingine Tanzania hatupendi ukweli kuhusu mpira tunapenda kuokoteza wachezaji wenye viwango vidogo tunataka watupe matokeo makubwa hawa wachezaji wa simba quality ni ndogo
@RevocatusMagum1 Muda wa usajili utasikia kila neno Zuri kwa mashabiki wa simba kuisifia timu yao na kuisemea vibaya yanga kuidhihaki ila sasa ligi ikianza kelele zinakuwa nyingi mara marefa mara GSM anaharibu ligi yaan ukiwa shabiki wa simba lazima ufahamu wa kutojielewa uwe nao