@Dominicksalamb1 wewe unataka wachambuzi wajadili hewa ? Maana michuano imesimama baada ya kumaliza hatua ya makundi. Ikekuwa busara kama ungeleta uchambuzi kwanini timu yako pendwa imebanduliwa
@Dominicksalamb1 Kwani kati yako wewe na management ya klabu ya simba nani ana uelewa wa masuala ya mpira practically? Hao uliowataja jaribu kuangalia wastani wa umri wao na assess future outcomes kwa maana ya labor market na kadhalika
@zumbekhan Unatakiwa kujibu hivi, Mwanaume hana kazi moja kama chanuo, wewe nipe namba Habari ya kutaka kujua naitumia kwa matumizi gani itajulikana mbeleni, over