@audaxharrison80@iboysean Hamna timu hapo, kucheza na Cape Verde, Egypt na akina Switzerland mshaona mmetoa Vigogo vya Soka Duncan eti! Mashabiki wa Messi mnafurahisha kinoma
@emabilly2001 Ulikuwa nyuma ya muda sana wew, Tatizo mnakaririgi miji mikuu tu hata ukienda SPAIN, VALENCIA ni eneo kali sana kwa wala BATA ila watu wamekariri MADRID tu