Rafiki angu alifiwa na mke, ilikuwa 2023 january nakumbuka.
Mke alimuacha na watoto wawili na dada wa kazi!!
Last weekend homeboy kaoa yule Beki taraa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ndoa kabisa church yaani na vigelegele…alulululululllllll…
Mi ndo nimejua leo!!
Ndio nimemuuliza hapa imekuwaje?
Kanijibu Watoto walikuwa wamemzoea sana huyu dada wa kazi Mkato!!😁
Dunia ina Reginald sana!!
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Kama umeanza ujenzi ukienda kununua tofali usiende kama tajiri mwenye site.
Nenda kama fundi mkuu au mtu kati, jamaa wa tofali wanatoaga ganji kwa mtu anaeleta mteja.
Kwenye tofali elfu moja hamna hamna unaweza ambulia 30k, inatosha kabisa mifuko 2 ya cement kasoro elfu 3.
Thank you for letting the whole world know the story of a real hero 🇨🇩 Long Live Africa ✊🏻
شكرًا لأنك جعلت العالم أجمع يعرف قصة بطل حقيقي 🇨🇩 تحيا أفريقيا ✊🏻
Geolocated videos from the scenes, audio forensic analysis of the shots fired and first-hand accounts from witnesses and victims document the brutality unleashed on young demonstrators following the re-election of President Samia Suluhu Hassan – who claimed she won with 98% of the vote on October 29 after barring her chief rivals from the presidential race. https://t.co/aYUhkIjyjx
Mnataka kufunika uhalifu wa kiwango hiki?
Mnataka mauaji ya kutisha kama haya niliyoona kwenye video yanyamaziwe?
Nani alietoa amri kuua watu wengi kiasi hiki?
Ukiacha mauaji ya kwenye vita,
sijaona mauaji ya kisiasa makubwa kiasi hiki.
Hata makaburu hawakuua watu wengi kwa pamoja kiasi hiki..
Je hawa wauaji ni Watanzania wenzetu?
Watu walioingia na kukuta watu wanaangalia mpira na wakawaua wote kama kuku.
Hili halitaweza kufunikwa, lazima watu wawajibike