Hello Dearsโฅ๏ธ Yes ni kweli unaweza kuja kuwa miongoni mwa walio fanikiwa ikiwa tu utaongeza jitihada zaidi ya ile ulikua nayo jana imani zaidi ya ile ya jana nidhamu zaidi ya ile ya jana kuwekeza zaidi ya jana na kubwa zaidi ujasiri wa kupita pale ulipoogopa kupita jana KAZA๐ช