Kama vile unavyochagua status za kuangalia katika cm yako vivo hivyo unatakiwa Uchague marafiki wa kuwa nao katka mwaka huu wa 2022 Maana ni Mara chache Sana marafiki wako wa 2021 kuwa nao hadi mwaka huu wa 2022 so Kama wameshaondoaka waache usiwang'ang'anie chagua wengne.