@Engkabora Sasa kama mkeo malaya utagombana na wangapi na ukizingatia ameenda kilomita zaidi ya 50 kufanya huo umalaya wake, cheating sio ajali ni mtu kaamua na wala hakubakwa
@Paullyker Hapo kuna MCHOPEKO(Wa njano) NA MTUNDU(mweupe)
Yaani mchopeko mpunga wake uwa una chemshwa kabla ya kukukobolewa na mtundu ni mpunga unakombolewa bila kuchemshwa