@simba_goba@CyancutyTz Ivi unajua majukumu ya CEO wewe au unaishi kwa mazoea.
Kasome duties za ahmed ally, CEO na mwenye kiti wa timu na rais wa heshima Mo.
@MrDepalitto7 Ivi we jamaa ukitoa code mwenye ela kidogo nae aweke apate unakua umepungukiwa nini?. Au inakuathiri nini?.
Unavopost wewe umewin UNATAKA UONEKANEJE YAANI. Kwamba unatuoshea yaani, sio poa man. Beside that all Soldiers hawakunji man. Ni ushauri tuu
@ExMayorUbungo Bon mbona kama heshabu yako haijakaa sawa
Yaani
625,000-45,900-5000-31250-34,750-20,000 Unabaki na sh ngapi?. Mi napata 488,100
Either mshahara ni zaidi ya 625,000 au umezidisha makato
@taita_apple Hello hi.
When i try to pay any slip from any kenyans, i failed to pay it in TZ. But for sure iam very interested with your slip. Pls help me