@IsmailZain34953@TheNairobiTimez Ata Sisi tulikua tukipatikana na makosa unapewa viboko penye umepatikana na mwenye anakupiga haumjui ukifika nyumbani useme tena unaongezwa viboko
@TheNairobiTimez Vile huyo mama ametetea huyo mtoto mbele ya soja, Amejua ata akifanya kosa mamake ako pande yake, kuna makosa makubwa atafanya ndio huyo mama atajua soja alikua anafanya kitu ya mhimu Kwa mtoto wake
@redmwiks The wantam train left the station long time and will reach its destination not long, but as you know in any train we have a few pickpockets and thieves. but they wont stop the train reaching its destination. wantam is real