@Angiekidmanaris@Elsukay0 Ukiishi Hilo eneo lenye hizo bei ujue ukitaka kwenda mishemishe utalipia gharama za nauli mpaka budget ya chumba cha 80K irudi
@Watu_Mikeka@nyalut23 π yani hapo mwambie akupe bei ya material bati na kila kitu kupaua na fundi akupe bei ya pcv ,rangi na hizo brandering za ndani plus umeme na ufundi basi