#TheTraveller
Tunakutakia HERI YA PASAKA ๐๐ป
Kumbuka kwa safari za Dar Mtwara, Dar Lindi nivutie waya kwenye 0756084459/0621877523
Graphics by @Canmaster_Oog
Hi ruti ya Karagwe || Dar-es-Salaam abiria unashauriwa kubeba mswaki na dawa ya meno, maji utapatiwa ndani ya gari kumbuka maji hayo sio ya kunywa na kwaajili ya usafi wa kinywa na uso wako.
#CityBoyExpress
โฌ Kusini Kuchele Chuma ya kazi Mahuta Express safari ya Dar es Salaam, Newala hadi Mahuta.
NB : Mahuta ipo mkoa gani?
๐บ Kata tiketi popote na Busbora
https://t.co/BGOPHWeyua App ๐ https://t.co/mNhC3EsrJA
#MahutaExpress#busworldtanzania
๐ธ @JustinOscarJr#SafariInaendelea
Karagwe kupata namba ya NIDA ni kipengele, Unaweza kuwa umejiandikisha na umepeleka vielelezo vyote changamoto kabla upewe namba unaagizwa uhamiaji ili uwe verified uhamiaji wanakwambia kalete Baba mkubwa/ Mama mdogo na ndugu wa ukoo
Unawakuta kayanga wamebebana familia nzima ๐