@hecenmo Aziz Ku had direct impact on goals involvement, ni decisive kwenye Box , Good Free kick Taker, mzuri kwenye ku shoot from Range. kitu Paccome kamzidi Aziz ni Work rate, Pace, Take ons & dribbling skills. But bado hao ni two different players. Me naenda na Aziz Ki.
@Geoffrey87Lea Jamaa alivyo comment ni as if kocha anakua assessed kama mchezaji kwamba umuone machi nyingi, wakati profile ya kocha ndo inayomnadi sokoni.