Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa, Karim Benzema, anatarajiwa kuondoka Al-Hilal ya Saudi Arabia, miezi sita tu baada ya kujiunga na klabu hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa, Benzema mwenye umri wa miaka 38 amefikia makubaliano na Al-Hilal ya kusitisha mkataba wake mapema. Hata hivyo, mchezaji huyo hatarajiwi kustaafu na anaweza kutafuta klabu nyingine ya kuendelea na soka lake.
Benzema alijiunga na Al-Hilal wakati wa dirisha la usajili wa Januari/Februari 2026 akitokea Al-Ittihad, lakini safari yake katika klabu hiyo inaonekana kumalizika baada ya kipindi kifupi.
#KitengeSports
@newvisionsport Tanzania rugby development from Tanzania, developing rugby from grassroots through children's coming from disadvantaged families, I believe in the next few years Tanzania rugby would be competitive through these young athletes