@fbuyobe@DizoFx Ambao ndiyo lengo lako uwapate kwa maana wao ndiyo wenye uwelewa na wanataka kuongeza uwelewa hivyo wanakuwa ni watu wasumbufu kwa kudai haki itendeke na kuwa mwiba kwa serikali.
@fbuyobe@DizoFx@fbuyobe kuna namna mikakati yako unaiweka kuonekana wewe ni mwema na hauna shida na mtu. Miongoni mwa hiyo ni kuomba watu wajiunge kwenye group lako la telegramu kwa fedha. Ilihali ukijuwa watakaokuja na watu wanaopenda kufuatilia, kujua na kudadisi mambo. Ambao ndiyo lengo lako