Habari
Siku hizi bank yenu nikienda kununua kitu waki swipe hamna haja ya kuweka password ina katwa moja kwa moja hii sio salama kabisa.
Nikiomba cheti rita mnakata moja kwa moja unakuta mimi nimetumia njia nyingine za malipo na nyie mnakata bila kunitaarifu @CRDBBankPlc