Mabadiliko ya HAKI za BINADAMU ni lazima yalenge zaidi kuziongeza na kuziimarisha na sio kuzipunguza. Pamoja na viongozi na wananchi kulalamika kuhusu kuvunjiwa haki na jeshi la polisi hakuna mabadiliko yamefanyika, #KatibaMpya itaondoa hii changamoto.
#WenyeNchiWananchi