Kwani Shabiki wa "King Smash" ni mimi peke yangu humu ndani???
👉🏽Vocal☑️
👉🏽Flow☑️
👉🏽Stylz☑️
👉🏽Contents hasa Muziki wa Mbele☑️
Halafu mahali anapoumiza zaidi ni katika ufunguzi wa Shoo.....huwa anapiga Introoo za kibabe sana 🔥🙌🏽
KING SMASH ni mtu na nusu wazee