🛑🇨🇩 #RDC-URGENT : Athlete wa congo 🇨🇩 Miguel Masaisai Aliekua na Enda mpaka Morocco 🇲🇦 Amepoteza Maisha kupitia Ajalimbaya ya Gari mjini Congo Brazaville Polesanani Congo impotent.
Hospital za Mweso na Kitshanga imelemewa na ongezeko kubwa la majeruhi wa jeshi la RDF-M23.🇷🇼 kisha vita kali inao Endelea katiyao na FARDC-WAZALENDO Masisi askari wengi wa Rwanda wamepoteza maisha Na #FARDC 🇨🇩WAZALENDO wakichukua Ushindi katika maeneo mengi Walikale Na Masisi.
#Congo Habari Fupi mandamano ya upinzani inaendelea Kinshasa Lubumbashi na maeneo mengine #C-64 watu wa kabila wanaonga mokono vita wamedanganya raia kuandamana kwa maslahi ya Rwanda ndani ya Congo. 🇨🇩
Wanafunzi 27 waliokufa kwa moto bukavu tarehe 10.9.2026 wamezikwa tarehe 14.9.2026 kwa uzuni kubwa ya wazazi wa watoto hao hataivi moto inaendelea kuchoma ma nyumba bukavu na #goma
Habari ufupi 🇨🇩🇺🇸
Marco Rubio aulizwa kuhusu mgogoro wa mashariki mwa DRC
Seneta kadhaa wa Marekani wamemtaka Waziri wa Mambo ya Nje, Marco Rubio, kueleza sera ya Washington kuhusu vita vinavyoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya #Congo
Tim Kaine
Maseneta wanauliza.
Moto inaendelea kuteketeza manyumba na byashara ya watu sasa ni soko ya Mugogo na Minova Sud-Kivu raia wanasema ni #RDF-M23 ndo wana Choma nyumba byashara ya watu.