📌KIBITI, PWANI. 18 April,2024
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kibiti Ndg.Juma Ndaruke Pamoja na Kamati ya Siasa Wilaya Ya Kibiti Yatembelea Makambi Maalum kuwafariji Wenye Changamoto za Mafuriko.
4. Jenga Brand yako.
Leo watu hawanunui bidhaa tu.
Wananunua mtu.
Wananunua imani.
Wananunua reputation.
Wananunua consistency.
Jina lako linaweza kuwa Asset kubwa kuliko hata biashara unayofanya.
Lilinde.
Lijenge.
Lifanye liaminike.
HOFU na IMANI ni kama;
Pande mbili za shilingi.
Na kufanya kitu chochote kwenye
maisha ni kama kuichezesha hiyo shilingi.
Upande utakapchagua ndiyo;
huaashiria MATOEKEO utakapopata.
Wewe ni matokeo ya
Vitabu usomavyo,
Filamu unazotazama,
Muziki unaousikiliza,
Watu unaokaa nao,
Mazungumzo na
Majadiliano unayoshiriki.
Chagua kwa umakini unacholisha fahamu zako.🫵🏾
Pindi utakapoelewa nguvu ya maneno yako, hutazungumza kila unachofikiria.
Pindi utakapoelewa nguvu ya fikra zako, hutawaza kila kitu kinachokuja akilini.
Pindi utakapoelewa nguvu ya uwepo wako, hutapatikana kila mahali.
Tambua Thamani Yako
LEO KATIKA MAPOKEZI YA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA UMOJA WA WAZAZI TAIFA WILAYA YA KISARAWE, NIMEBAHATIKA KUPIGA PICHA YA KAUMU KATIBU JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA KISARAWE COMRADE HADIJA
#Pichainaongea
Fall in love with your life. Wake up early, buy your favourite coffee, go for walks, eat good food, wear what makes you feel confident, and listen to your favourite music. Purposefully create small moments that make you fall in love with your life.
Fall in love with your life. Wake up early, buy your favourite coffee, go for walks, eat good food, wear what makes you feel confident, and listen to your favourite music. Purposefully create small moments that make you fall in love with your life.
Dear God, guide our steps, protect our families, bless the work of our hands, and grant us wisdom, strength, peace, and favour. May we walk in faith, kindness, and purpose. Amen. 🙏
Unakuta mtu yupo kanisani anamuomba Mungu pesa
Hakuna pesa mbinguni
Ni lazima ujue pesa ni wazo la mwanadamu
Na Mungu anaheshimu Sheria.
Fanya kazi Ndugu Mtanzania, mbinguni hakuna dollar wala TSh
@Psiteshio1
If we don’t come from a rich family, then a rich family must come from us. We may not inherit wealth, but we can build it and leave a legacy for generations.
Biashara Mbili zinazolipa zaidi
Tangia Kuwahi Kuubwa kwa Dunia Hii .
1.. Biashara ya Kuuza Matumaini.
2. Biashara ya Kuuza Raha.
Zinatumia Formula hiyo…
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Nimenunua bidhaa China hata suppliers sijui sura zao, wala sijui hata jinsia zao lakini mzigo wanakufukishia kwa uaminifu umekamilika na unafanya kazi 💯
Bongo tunakwama wapi? Unaniuzia iPhone nikiwasha inaandika android?