📌📌 NUKUU ZA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA
Sehemu ya Nukuu za Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Stephen Wasira wakati akitoa Shukrani kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu mara baada ya Kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara.
#SSH2025#tunazimazotetunawashakijani