MATUNDA ya diplomasia ya uchumi inayotekelezwa na Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan yameendelea kuonekana baada ya Shirika la Ndege la British Airways (BA), moja ya majina makubwa katika usafiri wa anga duniani, kutangaza kurejea Tanzania baada ya takribani miaka 15.
Bei ya mafuta ghafi aina ya Brent imeendelea kupaa kwa kasi na kuvuka dola 92.28 kwa pipa asubuhi ya leo, huku matumaini yaliyokuwa yameanza kujengeka ya kushuka kwa bei ya bidhaa hiyo yakizidi kufifia baada ya Iran kuufunga Mlango wa Hormuz na washirika wake, waasi wa Houthi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA), Kigali nchini Rwanda tarehe 19 Mei, 2026. Mkutano huo wa Kimataifa unawakutanisha pia wataalamu wa nishati, wawekezaji na mashirika ya kimataifa, ambapo utajadili matumizi ya nishati ya nyuklia kwa maendeleo ya Bara la Afrika. Mkutano huo pia unalenga kujadili namna bora ya kuongeza upatikanaji wa nishati ya umeme Afrika, kupunguza uchafuzi wa mazingira, kusaidia maendeleo ya viwanda, kukuza ubunifu wa teknolojia za nishati ya nyuklia pamoja na kuvutia wawekezaji katika miradi ya nishati.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Nishati la Atomiki (IAEA), Bw. Rafael Mariano Grossi mara baada ya kumaliza mazungumzo pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA), Kigali nchini Rwanda tarehe 19 Mei, 2026. Mkutano huo wa Kimataifa unawakutanisha pia wataalamu wa nishati, wawekezaji na mashirika ya kimataifa, ambapo utajadili matumizi ya nishati ya nyuklia kwa maendeleo ya Bara la Afrika. Mkutano huo pia unalenga kujadili namna bora ya kuongeza upatikanaji wa nishati ya umeme Afrika, kupunguza uchafuzi wa mazingira, kusaidia maendeleo ya viwanda, kukuza ubunifu wa teknolojia za nishati ya nyuklia pamoja na kuvutia wawekezaji katika miradi ya nishati, tarehe 19 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga light pistol kuashiria uzinduzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa yaliyopo Kikombo mkoani Dodoma.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulenga, ametangaza zawadi ya shilingi milioni 10 kwa wanafunzi wa uhandisi vyuo vikuu watakaobuni na kuwasilisha maandiko ya kibunifu yatakayotoa suluhisho la changamoto zinazoikabili Wizara ya Ujenzi β ikiwemo tatizo sugu la foleni katika Jiji la Dar.
@C_NyaKundiH@JoyceHuru Ndani ya siku 100 ,
Serikali itaanzisha mfumo wa kidigitali na SMS za bure ku hakikisha viongozi wanawajibika moja kwa moja kwa wananchi
#Siku100zaSamia
KAZI SASA IMEANZA!
Ndani ya siku 100, serikali imeahidi kuanza mkakati madhubuti kuhakikisha kila mtoto wa darasa la tatu anaweza kusoma, kuhesabu na kuandika bila shida.
Ili kufanikisha hili, serikali itaajiri walimu 7,000 wa masomo ya hisabati na sayansi.
#Siku100zaSamia