Kuwa na wife anapenda mambo na Church ni noma, manze utakuwa unaona vile anacheka cheka izo jokes za pastor unaskia kuchizi na hakuna kitu unaeza fanya
Hakuna kitu hectic kama kutoka kwa sacco. Kuingia ni rahisi lakini ukitaka kutoka unageuzwa beggar kwa pesa zako mpaka wanakwambia uandike barua ya mbona unatoka