@HildaNewton21 Kumbe ndiomaana wabunge wanalipwa 11m na posho zakutosha! Tunakoelekea napendekeza waongezewe hadi 50m ili wauwane kabisa alafu tujiwakilishe wenyewe maana hakuna kitu wanafanya mjengoni zaid ya kusifu, kuabudu na kuchakaza furniture za bungeni tu. βΉοΈ
@JayleenRickie Nipite niende wap π badala ya kutafuta seat nzr upate utulivu na kipupwe safi huku ukiwa na pisi kali pembeni wamekuzunguka. Yaan unapitishwa Eden alafu unapita badala ya kutulia! πππ
@MariaSTsehai Mm siwapendi mbogamboga ila hii mtu mwenye akil timamu hawezi kuichukulia kama agenda, yaan hao @tanpol watakua wajinga kupitiliza kama watamchukua mtu ambaye tyr ameshaingia kwny public attention then wamtumie kwny operation zao za kazi tena za wazwaz! Hii haihitaji degree. π
@Jambotv_ Mmmh! Aisee jamaa alienda ndan kufuata mkuki ili afamringishie marehem au ilikuwaje? Au swala ni kukiri tu kuwa ni kwel nmeua ila nlikua nna hasira unaachiwa!!
@Jambotv_ Wanajua kuwa maandamano yanahusu watekaji ambao ni wao na kama si wao ni uzembe wao katika utendaji wa kazi ya kulinda usalama wa raia na ndio maana hawataki kusemwa hadharani. Is this a monarch state?! βΉοΈ
@TanzaniaLeaks@mangekimambi Ila wee jamaa una mambo ya kisenge unaforce sana attention za watu kimkundumkundu kwa kuwalisha matangopori, anyway naomba niblock chap maana uvumilivu ukinishinda ntakutukana bure wakat saiv nmeacha kabisa kutukana wasenge kama nyie.
@IAMartin_ Kama huyo ndio afande mwenyewe shame on her but cheo alichonacho huyo afisa ni Senior Superintendent of Police (SSP) na sio Assistant Superintendent of police (ASP). Jeshi la polisi inawezekana hawajui wapi anapopatikana au wametingwa sana. Jeshi letu linafanyakazi kwa maelekezo.
@fbuyobe Nimelia sana mpk nmekaukiwa maji mwilini, mama @SuluhuSamia juzi nliamua niachane na wazo la kutafuta chombo cha kulia msosi baada kaka alivyosema hata tusipochagua kula mboga mboga yeye atahakikisha tunakula hiyo hiyo maana yeye ndiye anayewapa maelekezo wapishi waliopo jikoni
@SuluhuSamia Mama sisi watanzania tunaopenda utawala wa sheria na haki tunaomba utuletee @Nnauye_Nape awe mwenyekiti wa @TumeUchaguziTZ ili 2025 CCM ishinde uchaguzi mkuu kwa kishindo maana wakina @godbless_lema wana mpango wa kupigia kura wagombea wa @ChademaTz π