@fgdewji na ploughing ni 60,000Tsh kupanda nitapanda mwenyewe dawa na uncertainities nyengine 100,000Tsh shamba la ukoo lipo...Nahitaji nipate 273,500Tsh ili niweze kujikwamua..Asante sana @fgdewj
@fgdewji Mimi nilitaman sana kufanya shughuli za kilimo tangia nilivokuwa mtoto..Natamani sana kuanzisha kilimo cha mbogamboga hasa PILIPILI HOHO,nashindwa kuanza kutokana na umasikini wa kifamilia.
@fgdewji ...mbegu ya Gambia f1 pc1 inambegu100 ambayo inauzwa 8000Tsh kupata mbegu1000 ili nipande angalau nusu acre (60cm x 45cm) nahitaji 10pc=80,000Tsh, plastic trays1 yenye vishimo200 ni 3500Tsh,tray5=17500Tsh,jembe 1@8000tsh,watering cane 8000tsh kuandaa eneo la nusu acre harrowing
@mshambuliaji@aweso_jumaa Pangani sio pangoni ....hii ndio slogan yetu wanapangani"KARIBU MWENGE WA UHURU PANGANI SEHEM ILIYOSTAARABIKA KULIKO ZOTE AFRIKA MASHARIKI NA KATI"PANGANI KUNONO