Ahmed Ally ana maneno nyieee๐๐๐คฃ
NB: Tukiwaambia Manara Simba lialia basi tu life mtuelewe๐๐คฃ ona anavyoskiza kwa bashasha unaona kabisa anapata raha yani kafurahi Yanga kufungwa ๐๐
I stand with the people of Iran against any genocidal threats by US president. The world must condemn and take action intended war crimes by the US and Israel against another sovereign state of Iran
@SuluhuSamia Taqabbal Allahu Minna wa Minkum Wajaalna Minal Faizyn.๐
M/Mungu Akupe Afya Njema, Amiri Jeshi Mkuu | Mama | Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania ๐น๐ฟโค๏ธ
@Sativa255 Ndio siasa mlizobakinazo baada ya kushindwa njama zenu za kulitumbukiza taifa ktk mashafuko.
Watanzania tunaamin katika mungu na tunamuombea afya njema Mh Rais wetu azidi kulitumikia taifa letu.
Yaan kaen kwa kutulia huko mliko nchi jiran tuachien tz yetu salama.
@comanchechiefIV@ikulumawasliano@jmkikwete Nyie si mlisema eti oooh hamuitambui serikali hii,na eti AU wamemkataa mh Rais haya leo mko wapi?
Kenge nyie hamna mnachokijua na mmebaki kufanya maigizo kwenye misiba na mahakamani
Huu ni mradi wa shule yasekondari ya ghorofa 3 iliyopo kata ya Kitunda jimbo la Kivule iliyoghalimu sh bl 4.
Wana jimbo la kivule tunasema asante mh Rais kwa mradi huu mkubwa na leo tar 22 mh naibu wazili tamisemi anakuja kukagua.@barakawamb@ccm_tanzania@SuluhuSamia