@HabarimpyaTv Tukiwaambia ndugu zetu pelekeni watoto shule mnasema Elimu dunia haina maana yeyote, ona sasa mnatupa kazi mbili mbili ya kulikomboa Taifa na kuwakomboa ninyi at the same time.
Aibu naona mimi.
“Msimamo wa mwanadamu haupaswi kuwa gereza la dhamira yake.
Kuna nyakati ambapo ukimya huwa mzigo kuliko maneno.
Sidai kuwa mimi ni mkamilifu, lakini nimeamua kutii dhamira yangu kuliko kuigiza consistency isiyo na ukweli. Si busara kushinikizwa kuonyesha “uanaume wa kisiasa” kwa kubaki sehemu ambayo dhamira yako haiwezi tena kutulia”
“Jamii inapokwepa mwanga wa kweli, macho yake huzoea giza. Na kila anayeleta mwanga huonekana kama adui, si kwa sababu amekosea, bali kwa sababu amekuja kuvunja utulivu wa uongo uliozoeleka.”
Ukimsikiliza Sativa Kwenye documentary ya BBC.. kutekwa kwake, kupigwa risasi na kutupwa kwenye pori lenye wanyama Katavi.
Unapata picha kwamba watu wengi waliotekwa na kuuwawa, pengine wametupwa kwenye mbuga na mapori ili waliwe na Wanyama kupoteza ushahidi.
Lakini katika Dunia ya sasa hakuna ushahidi utapotea…
Iko siku kila kitu kitakua wazi.
@TitoMagoti@KagutaMuseveni Moja ya mistake kubwa ambayo wapinzani nchini Uganda wanaamini ni kuwa wanaweza wakamtoa M7 kupitia ballot boxes.
Maandamano ndio njia pekee tuliyonayo kuikomboa EA.
@spana_Konki Wapush # waliamini kuwa, wakati sisi tunateseka na huduma bora za Maji Umeme Elimu & Afya Wao watakua excempted, ona tuko 2025 na wote tunafuata maji 10Km 😂😂
@KennedyWandera_ The entity referred to as ‘Mainland Tanzania’ did not exist as an independent country, as independence was attained by Tanganyika, which later formed a union with Zanzibar to create Tanzania.
#Tanganyika