Njia rahisi na haraka ya kuweza kuvutia uwepo na uamkini wa Mungu ni kupitia sifa. Wewe msifu Mungu tu naye atakushangaza.
#Pambazuka na @sallymbeyuu#RadioNumberOne
Kila pando ambalo Mwenyezi Mungu hajalipanda litang'olewa
Mathayo 15:13.
Ni wakati wa neno. Kaa mkao wa kupokea baraka kutoka kwa mtumishi wa Mungu Bishop @Boniface Mangeti nawe utabarikiwa.
#PGC na @sallymbeyuu#RadioNumberOne
@Radio47_Kenya Leo nashiriki mugunga PAG church chini ya Mchungaji Wycliffe Elegwa,, ibaada ya Leo ikiongozwa na idara ya kina dada chini ya uongozi wa mama director Anne Akoyo,#Nuru47Jumapili
Karibisho la Ibada..
Ibada ya leo unashiriki wapi? Taja kanisa lako, mchungaji na baadhi ya washirika ili wapokee baraka.
Watch us live: https://t.co/YCJwEHxuk0
Join WhatsApp channel: https://t.co/yRSuTPokLX
WhatsApp No: 0719 739487
X: @radio47_Kenya: https://t.co/cxx6yId6VZ
Facebook: https://t.co/8v6BwsCevx
TikTok: https://t.co/q0lubL6qAZ
Instagram: https://t.co/lroM0JLqv3
Filikita Jillo
#Nuru47Jumapili #HapaNdipo
Hujambo,Umeshindaje? Siku yako imekuwa ndefu na yenye uchovu mwingi? Usitie shaka @OgalTina na @abdimunai tuko hapa kukupeleka nyumbani kwa upole na utaratibu.Unatupata ukiwa wapi?
#DriveOnReloaded#RadioNumberOne