Tunapomuomba MUNGU vitu vingi: tusisahau kumuomba MUNGU kutupa uwezo wa kujidhibiti dhidi ya Hasira zetu wenyewe,kudhibiti Tamaa zetu, kudhibiti midomo yetu, kutupa utulivu wa akili & kuwaza alternatives Bora katikati ya changamoto zetu tunazozipitia.
Kama dini Yako haisaidii wala haikwambii juu ya kuwasaidia wahitaji (yatima & wasiojiweza) hiyo dini inaweza kuwa na chembechembe za wizi, uhuni & unyonyaji.
Hapo awali "Tuliambiwa Imani bila matendo, imekufa."
Lakini Sasa Nawaambieni: "Imani bila Matendo & Akili timamu, imekufa na hata kusabisha watu kuchanganyikiwa".
Dini ambayo inajikita tu katika injili ya neno/magombo & kulishbisha kanisa & viongozi wake tu pasipo kuweka msisitizo wa kuwasaidia wahitaji/masikini + namna Bora ya kuishi na jirani yako: hiyo dini Haijakamilika,ina dosari & Wenda ikawa na chembechembe za unyonyaji na ubatili.
Tukiwa tunahitaji kuoa/kuolewa tafadhali wandungu tuhakikishe pia tunachunguza akili (reactions) za Hawa watu kwenye changamoto i.e anguko lolote, huzuni, kukerwa & Hasira na Tujipime Je tunawaweza au Lah!
Tusipimane kwenye Furaha,raha & kuchekeana tu.
Akili Mnemba (AI) inabadilisha mustakabali wetu kwa kufungua fursa mpya za maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kampuni za Marekani zinaongoza katika ubunifu, zikiendeleza mifumo mikubwa ya lugha (Large Language Models) inayobadilisha jinsi tunavyoishi, kufanya kazi, na kuwasiliana. Lakini, tunaelewa kwa kiwango gani zana za AI tunazotumia na sera zinazoongoza matumizi yake kwa usalama, maadili, na uwajibikaji?
Ungana nasi katika mjadala wa kuvutia kuhusu umuhimu wa kuwa na sera madhubuti na kutumia AI kwa kuzingatia maadili. Washiriki watapata fursa ya kuuliza maswali, kubadilishana uzoefu, na kujadili jinsi tunavyoweza kunufaika na ubunifu wa AI huku tukidhibiti changamoto na hatari zinazoweza kujitokeza.
Ungana nasi Katika Kituo cha Kumarekani (American Corner) Dar es Salaam au kwa njia ya mtandao kupitia https://t.co/86ylZg26k6