MD || MPH, works as an Assistant lecturer in Community Medicine , HKMU, worked with Africa CDC EARCC and Doctors with Africa CUAMM. Passionate in global health.
Muigizaji wa filamu wa Russia leo kaposti video hii akisema kuwa vijana wenzake hawamtaki na wala hawamuheshimu Putin ila wako kimya sababu wanamuogopa sana Putin. Kijana akaendelea kumwambia Putin, sitaki uwe Rais wangu na wala sitaki kukuona kwenye Tv. Mimi nataka kutumia Instagram bila VPN. Sitaki kuendelea kuonewa na kunyanyaswa na wewe.
Video imeenda viral sababu Russia Putin anaogopwa mpaka na panya. Putin ni kama Mungu huko Russia ukiongea tu ni kifo kinakufata. So msanii huyu mwenye jina kufanya video kabisa na kuposti inaonyesha wa-Russia uwoga umeanza kuwatoka juu ya Putin na wanataka kupambana sasa.
Kwetu Tanzania eti msaniii mwenye jina afanye video kama hii amsema Samia directly hivi bila mafumbo wala kupeleka lawama kwa mawaziri ni Never. Tanzania wasanii wote ni machawa. Stupid kabisa
@BongeLaAfya Ni bora mwanasiasa akamlipe dula makabila kufanya show lakini not to support critical ideas. Huwa nafikiria tu, na apo sikutaka wanipe hela, only wanted an authorization letter to carry on ili end of the day project ikifika mahala wasije sema haifai kwa taifa ili.
@BongeLaAfya Nilitengeneza mfumo nikaenda kuupresent wizarani wakaupenda sana, wakafurahia ila baada ya hapo kila siku nikupiga simu na hakuna ata mtu anataka kusikiliza tena. Labda nikawaza kwa kuwa sijatembeza bahasha. Iliniuma sana . Nikachukua wazo langu nikaweka mfukoni. Worst....
@BongeLaAfya Worst nkakuta part ya idea yangu saizi wanaimplement mfuko wa bima wa afya japo nilipigwa maswali mengi wakaonnesha kukataa io part kumbe ndo io waliotembea nayo. Iliniuma sana. In this way nchi yetu itazidi kupoteza akili nyingi sana. Ni bora mwanasiasa akamlipe...
Had an exclusive interview with @VOAAfrica, @VOANews given the surging cases of #MPox.
Shared insights on tackling public health challenges with @VOANews! 🌍 Key points:
•Youth driving change 🧑⚕️
•Coordinated epidemic preparedness 🌐
•Fighting misinformation 📢
•Building trust in governments 🤝
•One Health approach 🐾
•Local vaccine manufacturing 💉
Thrilled to be part of our Singida RAS+ meeting! With Dr. Fatma Mganga, RAS, and Dr. Victorina Ludovick, RMO, and Dr. Moses Bateganya, @USAIDTanzania we're driving impactful strategies for better healthcare in Singida. Together, we're making a difference!
"Big thank you to Hon @DocFaustine for your valuable input in our engagement session today. Your feedback is shaping @EGPAF's work significantly. We appreciate your collaboration and look forward to more impactful work together. Thank you! 🙏 #EGPAF#Collaboration
A heartfelt thank you to Hon. Godwin Mollel for meeting with us today! Your dedication in supporting our mission is appreciated. Your insights will steer our efforts towards even greater impact.
@kalegamyeh @MsigwaNkuki Ipo HIM ambayo inapeleka data kwenye HDR. HIM ni jitihada za kujaribu kuadopt HEALTHeLINK kutokea marekani. So far serikali imejitahidi sana na so far imefikia hospital zaidi ya 40 but bado inahitaji innovative minds to improve it further, tupo apa. @ummymwalimu
🔊 Join us for abstract presentations at the #InternationalPrimaryHealthcareConference#IPHC in #Dodoma
Themed: "Primary Health Care (PHC) as a vehicle for the journey to achieve Universal Health Coverage (UHC) in Tanzania"
Through our program's interventions, @AmrefTanzania will share cutting-edge;
📌 models
📌research
📌best practices
That support the government's 🇹🇿 efforts towards achieving Universal Health Coverage in Tanzania.
Don't miss out!
#pHcare
#amref4phc
#uhc2030
#Tanzania
Tunaishukuru Serikali ya Watu wa Marekani kupitia @PEPFAR@usembassytz kwa kuunga mkono jitihada zetu za kupambana na VVU/UKIMWI nchini kwa mwaka 2024. Ninayataka mashirika yasiyo ya Kiserikali yatakayopokea fedha hizi kutekeleza wajibu wao kwa uwazi, weledi na ufanisi ili tuweze kuutokomeza UKIMWI nchini kwetu ifikapo mwaka 2030. #TanzaniaBilaUKIMWIInawezekana
----
Mh. waziri wangu wa Afya @ummymwalimu napenda kukushukuru sana kwa uharaka wa ofisi yako kusikiliza presentation yetu siku ya leo Dodoma, katika ofisi za digital health. Hatuna neno zaidi tofauti na kusema ahsante na Mungu azidi kukuinua kwa usikivu wako na ukarimu. Ilipendeza🙏
@ummymwalimu ...kuwa utalipenda, na pia haliwezi fanikiwa pasipo mkono wako Mh.waziri katika wizara ivyo, kwa heshima kubwa, tafadhali , ninalo ombi kwako la kukuomba kuwasilisha wazo langu ili itapowezekana, niweze kuungwa mkono na kusaidia nchi yangu kwa namna moja au nyingine.