@msangijeff ๐Apo Mwamb Katafuta Balaa Mwenyw๐ Anatak kukimbia Sasa Kashaingia Mtumbwi sio,
Ila Sasa Kitu Ambacho Haamini Ni Kuwa Tayr Kichwa Kishatengana Na Mwil Apo, Yani Akili Inatak Alfu Mwil Unakukataa, Mchek Ata Direction ambay kakaa ni ya kukimbia Tu Ila Sasa๐๐๐...,..!!!!