Jioni leo nimefanya Hamasa ya katika eneo la Stendi ya Makumbusho kwa kushirikiana na Tawi la Wekundu wa Makumbusho
Lengo ni amsha amsha kuelekea Simba Simba Day
🚨IMETHIBITISHWA @CAFCLCC
•Tar 16 au 17/08
Uhamiaji FC vs Al Hilal Benghazi SC
•Tar 23 au 24/08
Al Hilal Benghazi SC vs Uhamiaji FC
Atakayepita atacheza v Simba SC ili kufuzu makundi
NB:Libya Kuna mgogoro wa kisiasa hvyo Benghazi watacheza nje ya Nchi kwa mechi za nyumbani.
Kazi imeanza kwa Awesu na Onana.
Taarifa zaidi tumia Simba App na Simba Bando inayokupa dakika za kupiga, sms, data na mastori ya Simba bure. Kujiunga Simba Bando piga *149*01# > 7 > 1. #WenyeNchi#NguvuMoja