Katika kuelekea mashindano ya kihistoria ya AFCON 2027, Mtandao wako pendwa wa https://t.co/maymZM8itA utakuletea mfululizo wa taarifa mahsusi kuhusu maeneo ya Tanzania yatakayohusika moja kwa moja na mashindano haya makubwa barani Afrika.
#afcon2027tz
https://t.co/eVZFWHAjC4
Unamfahamu mchambuzi wa kwanza wa Soka kwa kutumia takwimu (Data) kwa njia ya Kompyuta? Leo ni rahisi kuchambua mechi muda huo huo zikichezwa, wakati huo ilikuwa mtihani mgumu. Tumekuwekea uchambuzi
https://t.co/tdx2lkn6Lv
Unamfahamu mchambuzi wa kwanza wa Soka kwa kutumia takwimu (Data) kwa njia ya Kompyuta? Leo ni rahisi kuchambua mechi muda huo huo zikichezwa, wakati huo ilikuwa mtihani mgumu. Tumekuwekea uchambuzi
https://t.co/CrvtrV9pEF
Ule Mpira ungeamuliwa kuwa ni Goli basi DUNIA ya Mamelodi na Waliokuwa wanawasapoti ingekuja na VIDEO na PICHA mnato ambazo zingekuwa zinaonesha namna walivyopigwa na DHULMA.
https://t.co/v3jQ4O384Q
Washabiki wa wawili wa Kwanza kutabiri Matokeo ya mechi hii katika eneo la maoni ndani ya mtandao wetu watakuwa na nafasi ya kujjishindia Jezi ya Azizi Ki kutoka https://t.co/maymZM8itA.
Wahi sasa , https://t.co/8QFotdf19R