Kuna kipindi cha maisha kinaitwa " ISOLATION SEASON"
Marafiki wanaondoka...
Mialiko inapungua...
Maisha yanakuwa kimya kwako unaweza kufikiri umepoteza watu kumbe unaandaliwa kubeba vitu ambavyo usingeweza kubeba ukiwa kwenye kelele nyingi
Pharaoh met Joseph once and made him second in command of Egypt.
That's should be impossible...
Keep being faithful where nobody is watching.
And GOD will light into your life.
🙏
MUNGU ametupatia pumziko baada ya shughuli zetu za siku sita.
Anatuita jinsi tulivyo na mizigo yetu tukaribie katika sabato yake takatifu,hapo tutapata raha mioyoni mwetu,pumziko na kujazwa nguvu ya roho mtakatifu.
Sabato njema🙏
Utuzaji wa Sabato ni agizo la Mungu mwenyewe iwe ni siku ya kupumzika na kumwabudu (Kutoka 20:8-11)
Sabato ni kumbukumbu ya uumbaji wa MUNGU kwa siku sita na siku ya saba akaibariki na kuitakasa ( Kutoka 31:17)
Happy sabbath 🙏
"Kwa kuwa ulikuwa wa thamani Machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda, kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako, na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako" asema BWANA.
ISAYA 43:4
Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba.
2 Pet 3:9 SUV
Ikiwa unadhani maisha yako hayana maana na hujui kwanini upo duniani,fikiria tena!
Hakuna kitu kama kuzaliwa kwa bahati mbaya Bali tambua MUNGU ana mpango bora kwa ajili ya maisha yako na anataka kukupa haja ya moyo wako hivyo usikate tamaa.
HAPPY SABBATH TO ALL ADVENTISTS
Mwanzo 25:21."Isaka akamwomba Bwana kwa ajili ya mke wake maana alikuwa tasa,naye Bwana akamwitikia na Rebeka akachukua mimba."
Usikome kumwombea mtu unamjali hata kama matokeo bado hayajaonekana. Maombi ya mtu yanaweza badilisha historia ya mtu mwingine.🙏
Mnakumbuka Habari ya wakoma? 2wafalme 7:1.. walisema tukienda mjini tutakufa, tukikaa hapa tutakufa,twende tuliende Jeshi la washami wakituifadhi tutaishi wakituua sawa.
Kuna wakati unahitaji kusema tyu I WILL DO THIS Kisha tenda.
Just make a move and you will see your victory
Tunakumbuka malaika alipomtokea mariam mama wa Yesu,akasema umepata neema?
Kulikuwa na mabinti wangap zaid yake? Wapi unaona elimu ya mariam?. Mariam alikuwa binti wa kawaida hadi pale alipopata neema😊
Kuna muda huitaji vigezo vingi ila neema ya MUNGU pekee kubadili kila kitu.
Katika majira yote bado Yesu ni MUNGU kwetu,na wala hatutaubeba utukufu wake,wakat wa faraja na huzuni,wakati wa magumu,maumivu yasiyobebeka kibinadamu bado tutaendelea kulitumikia kusudi lake pasi kuzimia moyo kwa kuwa haya ndio maisha yenye faida duniani
✍️
Warumi 8:31-32
Basi tuseme nini juu ya hayo?MUNGU akiwepo upande wetu,ni nani aliye juu yetu?
Yeye asiyemwachilia mwana wake mwenyewe,Bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote,atakosaje kutukirimia na mambo yote pamoja nae ?
🙏
Pale TUMAINI la mwanadamu linapoishia,ndipo UAMINIFU wa MUNGU unapoanzia.
UTUKUFU wa MUNGU baada ya Lazaro kufa na kuanza kunuka sio wakati anaumwa!
Kuna nyakati MUNGU anasubili ukose tumaini ili akuoneshe UKUU wake.
MUNGU ANAJIBU
Zama zimebadirika sana zamani ilikuwa ukiwa mnyenyekevu utakula matunda lakini siku hizi ukiwa mnyenyekevu wanakugeuza mjinga na utatumiwa kwa maslahi yao
Akili ya kuambiwa ongeza na yakwako
Ukitaka Kukutana na Watu wa THAMANI (High Value People)...basi nenda Sehemu za thamani
Sometimes Jitoe akili nenda Sehemu ambayo hadi Unatetemeka Kuingia
Hicho ni chakula Bora zaidi kwa ajili ya MINDSET Yako...Unatoka Mazima Kwenye Comfort zone
C&P