Mapema leo nimefanikiwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge jimbo la Tunduma kupitia chama cha mapinduzi(CCM),nipo tayari kuwatumikia,kuwaongoza na kujenga kesho bora ya mji wetu wa Tunduma kama nikipata ridha ya chama changu. #Tunduma2025#JITULAMPAKANI.
@Thommunkondya Hongera sana bwana mdogo! Na ikawe heri. Tunawahitaji sana vijana kama ninyi wenye uthubutu mkubwa Tunduma ni yetu sote tutaijenga kwa pamoja