Alhamdulillah tumemaliza salama mazoezi ya leo kuelekea mchezo wa UEFA CL dhidi ya Chelsea, tulikuwa hapa kwenye uwanja wetu wa mazoezi wa Camp Nou. Usiku mwema 🙏
Nikiangalia mahesabu hapa naona zimesalia kama siku 87 hivi tuingie mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Tufunge zetu, tumalize, tupike zetu pilau na biriani, tusherehekee Eid yetu.
#MalipoNiHapaHapaDuniani 😔
Watu wagumu wanapita na nyakati ngumu zinabaki ila kwa hii picha, watu wagumu wanakuwepo na nyakati ngumu zinapita. Vijana wamegusa robo fainali klabu bingwa Afrika na Ndoo 4 mfululizo za Ligi kuu. Asante kwa kumbukumbu @BoiplusMedia