“Kumtafutia mtu kazi sio kumtumia tangazo la kazi aombe bali ni kumwambia tarehe flani aende kwenye interview au apeleke vyeti Jumatatu aanze kazi”
Sijui nani aliandika hii tweet ila aliandika ukweli.
Siku moja, 𝐔𝐭𝐚𝐦𝐳𝐢𝐤𝐚 𝐁𝐚𝐛𝐚 yako..
Hiyo ndiyo siku utakayogundua kuwa, umempoteza 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐩𝐞𝐤𝐞𝐞 ambaye kwa dhati, alitaka 𝐮𝐟𝐚𝐧𝐲𝐞 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢 zaidi yake.
Kama bado yupo hai, 𝐌𝐓𝐔𝐍𝐙𝐄..!!
Wakali zangu kama ukiona mambo yako hayaendi unahisi ni kama upo kwenye vifungo…. Oga na chumvi ya Mawe halafu Sali kwa kutumia mshumaa Mweusi lazima utaona mabadiliko makubwa.🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
NB:Usiuzime mshumaa acha uwake mpaka uishe.👊🏽✌🏼
Usiogope kujitafuta upya, hata kama italazimu ku-relocate.
Maisha ni marathon,Using’ang’anie vitu, mazingira, au watu ambao hawakufanyi kukua, bali wanakuua taratibu ndani yako.
Wakati mwingine hatua ya kuondoka ndiyo mwanzo wa kuishi kweli.
( Jitamkie Maneno Haya sasa Hivi )
Ulimwengu, Nisikilize.
Leo Nachukua Nguvu Zangu
Zote Ninazorudisha Kwangu.
Navunja Kila Nishati
Niliyoitoa Mahali Pasipostahili.
Navuta Nyuma Nguvu Zangu Kutoka Kwa Watu,
Mawazo Na Hali Zote Zisizonitumikia Tena.
Kila Sehemu Ya Roho Yangu Inayozurura,
Narudisha Nyumbani Kwangu Sasa.
Ninarudishiwa Muda Wangu,
Attention Yangu, Na Upendo Wangu
Wote Niliotoa Bila Kurejeshewa.
Ninajirudishia Heshima Yangu,
Thamani Yangu, Na Sauti Yangu Ya Ndani.
Ulimwengu, Nisaidie Kusimama Imara
Kwenye Mwanga Wangu Wa Kweli.
Kuanzia Sasa,
1. Nashikilia Mipaka Yangu Kwa Upendo Na Uthabiti.
2. Ninachagua Kujilinda Bila Kuomba Radhi.
3. Ninachagua Kujiamini Bila Kujificha.
4. Ninachagua Kujiambia Ukweli Hata Kama Dunia Hainielewi.
Nguvu Zangu Hazipotei Tena,
Zinawekeza Kwenye Ndoto Zangu,
Afya Yangu, Na Utulivu Wangu.
Kila Siku, Mimi Ni Mtiririko Wa Nishati Safi:
Amani, Ujasiri, Ubunifu, Na Wingi.
Ulimwengu, Nakuomba Unifungulie Milango
Inayolingana Na Nafsi Yangu Ya Juu.
• Kila Kinachonipunguza Kiondoke,
• Kila Kinachonikuza Kikaribie.
Leo Natamka:
• Mimi Ni Mwenye Nguvu.
• Mimi Nimerudi Kwangu.
• Mimi Ni Mmoja Moja Na Ulimwengu Ulio Hai Ndani Yangu.
Na Iwe Hivyo.
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Kwenye Maisha usimwambie kila Mtu Neema na Baraka Ambazo Mungu Amekutendea, Baadhi ya nafsi Zina maradhi, Chuki, na macho yao yana Sumu Kali.
Good Morning Champs 🌅✍️
AINA TATU ZA WANAUME
Kwa nini unataka kumuoa?
• MPUMBAVU:
Namuoa kwa sababu nampenda sana
Huyu manzi anayajua mapenzi.
• MWANAUME ALIEISHA KABISA
Nataka kumuoa kwa sababu ya muonekano wake.
Ana umbo zuri na kifua kilichojaa.
Namuoa kwasababu nilikutana naye kanisani.
• MWANAUME MWENYE HEKIMA:
Namuoa kwa sababu ananiheshimu na kunitii.
Namuoa kwa sababu ni binti mdogo, mwenye asili ya kike, na ni bikira.
Namuoa kwa sababu anaweza kuwa mama bora kwa watoto wangu.
WEWE UPO KUNDI GANI?
Kuna Msela wa Forex anasema kawahi kuwa na 1.8B na akapoteza 😆
Una 1.8B bado unakesha kuuza na kunua hela mitandaoni 😀
Mimi 500m mtanikuta shambani najifurahisha kufuga sungura organically.
Ukitoka asubuhi kwenda kwenye mishemishe zako na ukarudi nyumbani salama shukuru Mungu mana uko barabarani kuna mambo mengi sana.
Ni Mungu tu anatulinda sio kwa uwezo wetu
Vijana wengi wanapitia kipindi vigumu cha msongo wa mawazo na mahangaiko ya nafsi kwa siri, na chanzo si mapenzi. Bali Wanatamani tu kupata ushindi katika maisha waweze kujinasua katika mnyororo wa Umaskini. Mwenyezi MUNGU akufanyie wepesi na kuponya kila jeraha lililo ndani yako