@Utd_isaiah@Danny_metatron Nesta aliwahi kuwa anatokea pembeni akiwa Lazio mwanzoni mwa career yake kwenye youth ranks. Italy RB kulikuwa na Zambrotta (LB pia), Panucci na hata Di Livio.
@Babadancila@McinikaWaLamar Word. Halafu pia amani inaweza ikawa imekwishakosekana kwenye hiyo ndoa. Mwanamke anaamua kutafuta refuge. Ziko nyingi hizi.