#TajiriLaKihaya
Navyofaham …. Naibu wa Rais atakaechaguliwa hatakua mbali na NAIBU wa Mwenyekiti wa CCM…
mtu ambae Hana madhara na ambae hana NIA ya kuwania Urais… kama mzee wasira…
Nategemea makamu mwenyekiti ajae..
Kua Either Mzee au Mwenye Hana Ambition za kuja kuwania Urais…
Ambae anaelekea ukingoni mwa Siasa zake…ambae atafaham amepewa unaibu sio kwa kua anavigezo kuzidi wengine ila kwa kua Kapendelewa tu!
Kwa hio jukumu lake kuu litakua kulipa Fadhila…
mtu ambae hawezi kuhoji chochote… zaidi kusema YES kwa kila jambo!
Attention to all men
Hili swala la mtu anasafiri 700+ KMs
Anafika, anaoga,anakula fresh unaaanza kujizungusha siku nzima hamna kitu, unaulizwa unasema “ooh niliacha kwanza upumzike kidogo”
😡Aliyekuambia nimekuja kupumzika nani?? Mi nimesafiri ili nije kupumzika??
Mnatukwaza🙄