Wapwa muliojoin x 2026 jua kwamba hapa X ...👇
1. Usiongee baya lolote kuhusu chadema.
2.Dizasta vina ndio rapper bora Tanzania.
3.Wenye followers kuanzia 10k ni masuper star.
4.Single mothers na wasimbe hawana haki.
Ukipinga tuu hizo issue basi utaishi kwa shida 😂😂💔