Aliyekuwa Ofisa uhusiano Mkuu Daraja la II katika kitengo cha mawasiliano na masoko Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM), Jackson Isdory Mushi (43) amefariki dunia katika ajali ya Barabarani.
Taarifa iliyotolewa leo alhamisi mei 28,2026 na Makamu Mkuu wa Chuo CKD, ๐ฏ๏ธ๐๏ธ
Pumzika kwa Amani kaka Isdory ulikua mtu mwema sana, sioni haya kusema tangu nimekufahamu umekua kiongozi bora hapo UDSM.
Nitakuenzi kwa kuyatenda yaliyo mema kwasababu ulinisaidia sana nami nitawasaidia wengine.
Pumzika kwa amani mwendo umeumaliza salama kamanda๐ฏ๏ธ๐๏ธ
M/kiti Uchaguzi Chaso Udsm 2026/27. Chama kimenilea na kunikuza kisiasa lazima tufanye kazi kwa uadilifu mkubwa.
Ahsante CHASO USDM mei 23, 2026 Msewe Ubungo