Dealers in all types of Motorbikes, Bajaj, Electronics,Home Appliances,Apartments and Rental Frames. Super Agents for Tigo-pesa, Multi Choice Ltd, Azam.
Je, bado unajiuliza ni wapi Dodoma utapata Pikipiki, Bajaji au Guta kwa Bei POA?? Wajanja wote tunakutana ndani ya @kazimoto_complex pekeee, fahari ya jiji la Dodoma🔥🔥
Utapata service ya chombo chako na warranty ya chombo kwa uhakika kabisa!!!
Tupigie kwa namba:0788-777777
Heri ya siku wa wapendanao wateja wetu🎉. Kusherekea upendo, tuna punguzo katika bidhaa zetu msimu huu. Karibuni sana msipitwe na Ofa Hii!!!
#sherekeaupendonakazimotomapikipiki
Shukrani nyingi sana kwa wateja wetu wa @KazimotoComplex kwa support yenu kubwa ndani ya mwaka huu wa 2024 katika kufanikisha mafanikio na ushindi kwenu na kwetu kama kampuni. Mwenyezi Mungu aendelee kututia nguvu na mwaka 2025 ukawe mwaka wa mafanikio zaidi kwenu wateja wetu🙏
Umewahi kuona Oil gani ya Pikipiki inayotumia 4,000kms. Sasa basi, ndani ya showroom yetu utajipatia Oil hii ya Honda, imara kwa 17,000Tu. Yaniiii, mwezi mzima unatumia 17,000 badala ya 40,000 katika service za Oil. Karibuni sana sana @KazimotoComplex Dodoma🎉
PIKIPIKI MPYA NDANI YA SHOWROOM YETU‼️
Pikipiki za Umeme aina ya YADEA za kisasa ambazo zina uwezo wa kutembea mpaka 70kms ikiwa full charged na maximum speed ikiwa ni 50kms/hr. Karibuni sana msikose Ofa hii🔥🔥. Kwa mawasiliano tupigie; 0716904393/0788-777777
Happy Maulid X Family. Tuko wazi kukupa Huduma iliyobora kabisa na bila kusahau Showroom yetu ina Pikipiki, Bajaj na Guta aina zote zenye warranty ya 1yr, Ofa kama zote na bei rafiki. Karibuni Sana tuwahudumie🎉
Pikipiki kama ya mrembo inapatikana ndani ya showroom zetu za @KazimotoComplex kwa 2,850,000Tu. Pikipiki hii ni Luxury yenye cc110-42B. Inaitwa Sanya Vogue New Model. Imeambatana na Ofa ya Oil 1Ltr, Jacket na Helmet. Utapata warranty ya Engine mwaka mzima. Karibuni sana🎉🔥
Ni Furaha kwetu pale ambapo wateja wetu wanafurahia huduma pamoja na bidhaa zetu. Karibu sana ndani ya @KazimotoComplex uweze kujipatia bidhaa na huduma bora kabisa. Bidhaa zetu zote zina Ofa KemKem, Warranty ya mwaka mzima, Bei Nafuu Pia!
Karibuni sana🎉🔥
Jamaniii Ehh, Usikubali Kabisa kupitwa na Ofa hii ya Mafuta ya Bure ya 78,000 punde utakaponunua pikipiki aina yoyote ya Boxer 150/125. Ofa hii si ya kukosaaa❗️❗️. Pia Utapata Usajili na Bima Bure, bila kusahau Oil Mpya ya 1Ltr na Warranty ya Engine ya 1Year. Karibuni Sana🎉🔥
Pikipiki Za Umeme zinapatikana ndani ya showroom zetu zote kwa Bei nafuu. Zipo aina mbili; Nuru Umeme yenye carrier ya mzigo na Sinoray ambayo ina seat ya abiria. Zina uwezo wa kwenda hadi 60kms-70kms ikiwa full charged. Ina warranty ya battery kwa miezi 6. Karibuni sana🔥
Ni Muda wako Upunguze Kesi za Miguu yako na viatu Tunawakaribisha kupata Pikipiki Na Bajaji Kwa Bei Nafuu Jipatie Usafri wako Mpya Jipatie kutoka kwa @KazimotoComplex
@PerezYohana3@GloryKazimoto Habari Mgale, pikipiki za Honda zipo za kutosha sasa. Bei ni 2,350,000Tu. Karibu sana. Utapata na ofa ya mafuta ya 30,000Bure.
@lazaro9797@GloryKazimoto RE OLD MODEL - 9,500,000
RE NEW MODEL(200cc)- 9,600,000 kwa bei ya promotion.
TVS KING- 10,300,000. Zote unapata Ofa ya Usajili Bure. Karibu Sana.
Pikipiki Za Umeme zinapatikana ndani ya showroom zetu zote kwa Bei nafuu. Zipo aina mbili; Nuru Umeme yenye carrier ya mzigo na Sinoray ambayo ina seat ya abiria. Zina uwezo wa kwenda hadi 60kms-70kms ikiwa full charged. Ina warranty ya battery kwa miezi 6. Karibuni sana🔥