BOOM π₯
Huu si zaidi ya mshahara wa Mwalimu alioupokea Jana eti?π
Kampuni:ππΎ SPIN BETTER
Promo code:ππΎ DYABALA
Jisajili:ππΎ https://t.co/XM0ECUSYqn
Bonus mpaka 100% ukibeti na spin better, karibu JISAJILI kwa mabigwaπ€
ANZA SIKU YAKO NA MUNGU π
KARIBU TUKUWEZESHE LAINI YAKO KUWA SME
Pata nafuu ya gharama za bando ukiwa na SME
VIGEZO:
- TIN namba
- namba ya NIDA
- Email
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane π
Piga: 0753605341
Whatsapp: 0678231552
Uzi: Jinsi Propaganda Inavyofanya Kazi (kwa lugha ya mtaa)π§΅
Shuka na uzii huu
Propaganda ni ule mdomo wa nguvu unaokulisha kitu hadi unaamini bila kuuliza.
Ni kama vile mtu anakudanganya, lakini kwa staili ya kuaminika sana.
Inafanya kazi kwa emotions zaidi ya logic.
Inakufanya uhisi hasira, woga, furaha au matumainiβhalafu unafanya maamuzi bila kufikiri sana.
Propaganda hupenda kurudia ujumbe ule ule mara nyingi.
Ukiusikia mara ya kwanza, unaweza uka-ignore.
Mara ya pili unaanza kuwaza.
Mara ya tano unaanza kuamini.
Mara ya kumi unawaambia na wengine.
Haitumii uongo wa moja kwa moja kila maraβhucheza na ukweli.
Ukweli kidogo unapochanganywa na uongo kidogo, unazaliwa uhalisia mpya wa kugushi.
Inapenda sana kutumia watu maarufu, viongozi, au wale wenye mamlaka.
Ukiona mtu unayemheshimu anasema kitu, unakiamini kirahisi hata kama ni sumu.
Propaganda inaweza kuvaa sura ya memes, breaking news, au hata βfun factsβ.
Inajificha kwenye vitu unavyopenda ili usijue kama unalishwa sumu polepole.
Inafanya kazi bora zaidi kwenye mazingira yenye hofu, sintofahamu, au mgawanyiko.
Hapo ndipo watu wanakuwa rahisi kuamini chochote kinachowapa matumaini au mwelekeo.
Propaganda si ya serikali tu.
Makampuni, dini, celebrities, na hata watu wa kawaida wanaweza kuitumia kwa maslahi yao.
Njia bora ya kuizuia?
Uliza maswali. Tafuta chanzo. Linganisha habari.
Usiamini kitu kwa sababu tu βkimeandikwaβ, au βkimesemwa na mtu mkubwaβ.
πNB:Hazina madhara kabisa,tumezitengeneza kutokana na mizizi ya mitiporiπ³πΏπ² mbalimbali yenye miaka zaidi ya mia moja na bila kuchanganya makemiko yoyote yale yanayoweza kuleta madhara,π‘πͺπ
Tupigie
πβ’β’β’
+255733287744
π²π¨π¬https://t.co/AGp6o6mcLHβ¦
π€πKaribu!!!ππ€